Ikiwa tovuti ya wizara ina jam basi nimekuletea matokeo yote hapa, matokeo hayo yametoka leo july 15 2017 kwa wanafunzi ambao walihitimu kidato cha sita mwezi may 2017 wasichana wameongoza na tayari kujiunga na vyuo mbalimbali, Iringa jamii blog inaomba saport yako ya kutembelea blog hii mara kwa mara maana itakuunganisha kwa urahisi na kukupa ushauri namna ya kuchagua kozi itakayo kufaa, kwa kozi zote kulingana na masomo uliyo soma, 0657375592 . Tunaomba saport yako ndugu kwa ajili ya blog yako. pia matokeo ya ualimu kuanzia ngazi ya certificate na diploma yametoka karibu sana uone, kutazama matokeo hayo KIDATO CHA SITA BONYEZA HAPA , UALIMU GRADE "A" , UALIMU DIPLOMA
Twende pamoja